Leo hii Mtandao huu wa SKONGA KWETU unakuletea kwa uchache shule bora Tanzania, ambazo unaweza ukampeleka mwanao akajipatia elimu bora zaidi. Kwa ufupi utaonyeshwa mandhari ya shule hzo ili uweze kujionea mwenyewe.
1. Living Stone Boys' Seminary.
Shule hii ipo katika mkoa wa Tanga, wilaya ya Muheza. Ni moja kati ya shule nzuri sana zenye mandhari bora inayovutia na elimu inayotolewa hapo ni nzuri pia. Hebu jionee mwenyewe hapa jinsi ilivyo:-
Jengo la utawala
Dinning
Dinning
Chapel
Library
Science Building
Dormitory
Hiyo ndiyo Living stone boys seminary kwa sehemu ndivyo inavyoonekana.
2. Feza Boys' na Feza Girls' Secondary School.
Hakuna ubishi juu ya hili kuwa hizi ni moja ya shule zinazofanya vizuri sana katika matokeo ya kidato cha nne na cha sita Tanzania. Hata mandhari yake pia ni nzuri zaidi kwani inasadifu kile kinachotolewa. Shule hizi zipo katika jiji la Dar es Salaam.
Feza Girls' Secondary School.
Feza boys' Secondary School.
Hizo ndizo Feza shule, kwa muda mwingine mtandao huu utazidi kukuletea shule zingine bora na zenye mandhari ya kuvutia.
Kama una kitu chochote kinachohusiana na mambo ya Skonga au shule unaweza ukatutumia kwa email hii ya ttabasamu@gmail.com, nasi tutakiweka hewani moja kwa moja.
Tafadhari ukiuona mtandao huu mshirikishe na mwingine.
0 maoni:
Chapisha Maoni