Hawa ndiyo St. Francis Of Assis girls' Secondary School Wakiwa Ndani Ya Tanga Jiji Kwa Ajili Ya Tour Study.
Hapa ni kidato cha kwanza wakiwa Ndani ya Tanga Air Port.
Hapa ni lazima tuwe marubani, ndivyo kama wasemavyo vijana hawa wa ST. FRANCIS OF ASSIS GIRLS' SECONDARY SCHOOL.
Hiyo yote ni raha na mitoko ya tour tu.
Haaaa! Haaaa! hiyo ni ndani ya gari tukiwa zetu tunaelekea Tanga Ndani Ya Alsaedy.
Hapa ni Tanga Fresh Napo pia Tulikuwepo kujifunza zaidi.
Haya ni mapozi tu ya aina tofautitofauti tu tukiwa ndani ya Tanga tukifurahia tour yetu ambayo ilikuwa safi sanaaaaaaaaa.
Hureee na shukrani kwa mawlimu wetu aliyetufikisha na kutuleta huku, jamani Tanga raha.
Kama na wewe ni mwanaskonga unapenda picha zako na shule yako ikaonekana hapa usisite kukutumia jina la shule uliyopo na mahali ilipo. Pia unaweza ukatutumia shairi, hadithi ama katuni nzuri kupitia email yetu ya ttabasamu@gmail.com. Karibu sana utujuze mambo ya skonga yanavyoendelea huko uliko, karibu sana.
0 maoni:
Chapisha Maoni